Uchaguzi Marekani 2016

 1. Video content

  Video caption: Uchaguzi Marekani: Vipi azma ya Kanye West kuwa rais?

  Msanii wa nyimbo za Rap Kanye West, alikuwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais Marekani.

 2. Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Joe Biden achukua jimbo la Michigan

  Mfuasi wa Joe Biden

  Mgombea wa urais wa Democrat Joe Biden hadi kufia sasa amefanikiwa kupata kura milioni 71.5.

  Awali, Joe Biden alisema kuwa ni wazi kwamba atashinda majimbo ya kutosha tu kumuwezesha kuwa Rais lakini bado kura zinaendelea kuhesabiwa katika majimbo mengine.

  "Uhesabu wa kura ukimalizika tunaamini kwamba tutakuwa washindi," Bwana Biden amesema katika taarifa fupi aliyotoa kabla ya dalili kuanza kuonesha kuwa ana uwezekano mkubwa wa kuchukua ushindi katika jimbo la Michigan.

  BBC ilitaarifiwa kuwa Bwana Biden atashinda jimbo la Michigan huku vyombo vya habari vya Marekani vikionesha kwamba ameshinda huko Wisconsin.

  Maelezo zaidi:

  Matokeo ya uchaguzi wa urais Marekani 2020: Kura zinaendelea kuhesabiwa

 3. Video content

  Video caption: Mwanamuziki maarufu atangaza kumuunga mkono Biden

  Jennifer Lopez na mchumba wake Alex Rodriguez wametangaza msimamo wao rasmi wa kumuunga mkono mgombea wa urais Joe Biden