Dubai

 1. Mianya imeanza kujitoleza katika ya wanawafalme wa Saudia na UAE

  Uhasama kati ya UAE na Saudia kuhusu uzalishaji wa mafuta wiki hii ulifanya mazungumzo kati ya wazalishaji hao wawili wa mafuta duniani kufutiliwa mbali na kuwacha masoko ya mafuta katika hali ya kutatanisha hatua iliofanya bidhaa hiyo kupanda bei kwa mara ya sita mwaka huu.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: BBC yagundua maasi ya Muungano wa nchi za kiarabu ndani ya Libya

  BBC imegundua ushahidi mpya kwamba kombora linaloongozwa, lilifyatuliwa kutoka ndege isiyo na rubani (Droni) ya UAE, na kuwauwa wanajeshi wakufunzi 26.