Magufuli

 1. Video content

  Video caption: ‘Tunamkumbuka shujaa wetu Magufuli, lakini tuna imani na mama Samia’
 2. The 61-year-old president died from heart complications on Wednesday

  "Kwa niaba ya umoja wa mataifa ninatoa pole kwa familia, natumia nafasi hii kuahidi umoja wa mataifa kuendelea kufanya kazi kwa ukaribu na Serikali iliyopo chini ya Samia Suluhu Hassan, tuko pamoja na raia wa Tanzania katika juhudi zao za kujiletea maendeleo," amesema Guterrez.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: Alichosema Mwinyi alipokutana na Rais Samia

  Mwinyi aliwarai Watanzania kumuunga mkono rais Samia