Pierre Nkurunziza

 1. Na Dinah Gahamanyi

  BBC News Swahili

  Bwana Nkurunziza pamoja na familia yake wakijiunga na wakazi wa eneo la Rutanga katika wilaya ya Gashikanwa kuombea msimu wa kilimo

  Hayati Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi aliyefariki dunia ghafla tarehe 8 Juni, atakumbukwa miongoni mwa mambo mengine kwa ''uongozi uliotawaliwa na itikadi za kikristo''. Lakini je itikadi hizi zitaendelezwa na mrithi wake Meja Pierre Ndayishimiye?

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Domitien Ndayizeye aliyekuwa rais wa Burundi asikitishwa na kifo cha Pierre Nkurunziza

  Bwana Ndayizeye alisalia madarakani hadi aliporithiwa na Pierre Nkurunziza Agosti 26, 2005.