Wazee

 1. Video content

  Video caption: Mkulima mstaafu ambaye sauti yake inawafanya watu wakabiliane na hofu

  Watu kutoka maeneo mbali mbali duniani wamemshukuru mkongwe wa miaka 84, nyota wa YouTube ambaye sauti yake inawasisimua na kuwafanya wakabiliane na hofu.

 2. Fahamu Kwanini wastaafu wengi Nigeria wananyimwa pensheni zao

  Video content

  Video caption: BBC Africa Eye : Kwanini wastaafu wengi Nigeria wananyimwa pensheni zao
 3. Video content

  Video caption: Bob atimiza miaka 112

  Mkongwe mwenye umri mkubwa zaidi duniani,Bob Weighton, afikisha miaka 112

 4. Video content

  Video caption: Hii ndio sababu dunia inawahitaji 'mabibi wa Instagram'

  Achana na kizazi cha miaka ya kuanzia themanini na zaidi, kuna kizazi kipya cha watu wenye ushawishi mkubwa wanaoacha historia kwenye mitandao ya kijamii. Suzi Grant ni mmoja wao.