Haki za Wanawake

 1. Esmeralda Millán

  Esmeralda Millán alikuwa na miaka 23 Disemba mwaka 2018 aliposhambuliwa kwa tindikali mjini Puebla, Mexico. Mpenzi wake wa zamani na baba ya watoto wake wawili anayetuhumiwa kufanya shambulio hilo anazuiliwa kwa jaribio la mauaji.

  Soma Zaidi
  next
 2. TAMWA yasikitishwa na udhalilishaji unaodaiwa kufanywa na polisi mkoani Tanga

  Martha Saranga

  BBC Dar es Salaam

  Mkurugenzi mtendaji wa Tamwa Dkt. Rose Reuben
  Image caption: Mkurugenzi mtendaji wa Tamwa Dkt. Rose Reuben

  Chama cha waandishi wa habari wanawake nchini Tanzania Tamwa kimeelezea kusikitishwa na udhalilishaji uliodaiwa kufanywa na baadhi ya askari polisi katika wilaya ya Handeni Mkoani Tanga.

  Tamko hili linakuja baada ya mkuu wa wilaya hiyo Siriel Mchembe kuibua ukatili unaofanywa na baadhi ya askari polisi wanaodaiwa kuwashika sehemu za siri wasichana na kuwabaka kuwapiga na kuwalazimisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi.

  Mkurugenzi mtendaji wa Tamwa Dkt. Rose Reuben amesema hakuna aliye juu ya sheria na ndiyo maana askari wana dhamana ya kusimamia sheria hizi lakini cha ajabu baadhi wamekuwa wa kwanza kuzivunja.

 3. Video content

  Video caption: Pendo Njau: Mfahamu mwanamke shupavu mwamuzi wa masumbwi Tanzania

  Pendo Njau ni mwamuzi wa masumbwi kinara kwa sasa nchini Tanzania akiwa na rekodi ya kuchezesha mapambano makubwa zaidi nchini Tanzania siku za karibuni

 4. Picha

  Unyanyasaji dhidi ya wanaume ni nadra sana kutokea na kujadiliwa na hasa unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanaume au unyanyasaji wa mwanaume ambaye amefanyiwa unyanyasaji na mtu wa familia yake.

  Soma Zaidi
  next