Maumbile

 1. Tazama upasuaji wa kuongeza kimo unavyofanywa

  Upasuaji wa kurefusha miguu unajumuisha mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na mifupa kuvunjwa kuunganishwa. Upasuaji wa aina hiyo ulikuwa ukifanyiwa watu waliopata ajali, lakini sasa mamia ya watu wanafanyiwa upasuaji huo katika maeneo tofauti duniani.

  Gharama ya upasuaji huo uko juu sana na licha ya hatari inayotokana na changamoto yake baadhi ya watu wako tayari kufanyiwa.

  Video content

  Video caption: Tazama upasuaji wa kuongeza urefu wa miguu
 2. Video content

  Video caption: Tazama upasuaji wa kuongeza urefu wa miguu

  Upasuaji wa aina hiyo ulikuwa ukifanyiwa watu waliopata ajali

 3. Video content

  Video caption: Masaibu ya mwanamke Mnaigeria mwenye macho ya bluu na wanae

  Mwanamke mwenye macho ya bluu, aliachana na bwana yake. Yeye na watoto wake wanakabiliana na unyanyapaa kutokana na macho yao ya bluu na kuhusishwa na uchawi.

 4. Goldfish wearing fin shark underwater

  Tunafunzwa kusema ukweli kuanzia tukiwa wadogo, lakini inavyoonekana ujanja unatokana utaratibu wa mageuzi ya binaadamu. Na tabia za uongo zinaonekana kutokana na wanyama, lakini kwa binaadamu urongo ni jambo linalotuunganisha kijamii.

  Soma Zaidi
  next