Jinsia

 1. Picha

  Unyanyasaji dhidi ya wanaume ni nadra sana kutokea na kujadiliwa na hasa unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanaume au unyanyasaji wa mwanaume ambaye amefanyiwa unyanyasaji na mtu wa familia yake.

  Soma Zaidi
  next
 2. Mwanariadha wa Namibia Beatrice Masilingi akiwa katika mashindano ya olimpiki mjini Tokyo

  Beatrice mwenye umri wa miaka 18 anasema kwamba anafurahia kushiriki katika mbio za mita 200 upande wa akina dada katika mashindano ya Olimpiki ya 2020 yanayofanyika mjini Tokyo ambapo mbio za kufuzu kwa fainali zitaanza siku ya Jumatatu.

  Soma Zaidi
  next
 3. Esther Namuhisa

  BBC Swahili

  kala

  Katika sehemu ya maadhimisho yanayoendelea ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia nchini Tanzania, Mabingwa 16 wa Mabadiliko wamepewa tuzo kwa kufanikiwa kutetea na kulinda haki za wanawake na wasichana kuwawezesha kuishi maisha bila ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.

  Soma Zaidi
  next