Vladimir Putin

 1. Kwanini mkutano kati ya Biden na Putin hautakuwa wa kirafiki

  Biden na Putin

  Rais wa Marekani Joe Biden leo anatarajiwa kukutana na Rais wa Urusi Vladmir Putin mjini Geneva Uswizi.

  Viongozi hao wawili watakutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza tangu Biden alipoinga madarakani na wadadisi wa wanasema huenda usiwe wa kirafiki.

  Hii ni kwasababu,Urusi imejumuisha Marekani katika orodha yake rasmi ya ''mataifa yenye uhasama''

  Uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili umezorota na kwa sasa hakuna balozi pande zote mbili; maafisa wakuu wa Urusi wamewekewa vikwazo na Marekani kutokana na masuala tofauti ikiwa ni pamoja na mzozo wa Crimea nchini Ukraine hadi madai ya Urusi kuingilia uchaguzi Marekani.

  Kwa upande mwingine, wanajeshi wawili wa zamani wa Marekani sasa wako katika magereza ya Urusi, wakituhumiwa kwa ujasusi.

 2. Dinah Gahamanyi

  BBC Swahili

  Putin akiwa na mbwa wake Buffy na Yume

  Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya ulinzi mkali na zaidi akiepuka kuchangamana sana na watu wengine wa nje isipokuwa inapokuwa lazima.

  Soma Zaidi
  next
 3. Navalny

  Mpinzani maarufu nchini Urusi Alexei Navalny yupo katika hali mahututi katika hospitali moja mjini Berlin , akiwa mwathiriwa wa kile ambacho serikali ya Ujerumani inasema kwamba lilikuwa jaribio la sumu kwa jina Novichok.

  Soma Zaidi
  next
 4. Ifahamu sumu ya Novichok iliyotumiwa kumshambulia mpinzani wa Rais Vladimir Putin

  Navalny

  Msemaji wa Urusi anataka Ujerumani kuishirikisha katika taarifa zake zote huku msemaji wa wizara ya mambo ya nje Maria Zakharova akilalamika kwamba madai ya Novichok hayakuambatinishwa na ushahidi wowote.

  Maelezo zaidi: