Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka

 1. Video content

  Video caption: Josep Maria Bartomeu amejiuzulu kutokana na shinikizo kubwa

  Rais wa klabu ya Barcelona amejiuzulu,lakini amesema anaunga mkono pendekezo la klabu hiyo kujiunga na ligi mpya ya Ulaya.

 2. Edinson Cavani

  Benfica imesitisha azma yake ya kumsaka mshambuliaji Edinson Cavani, 33, huku mchezaji huyo aliyekuwa Paris St-Germain akidai karibu pauni milioni 18 kwa kila msimu. (A Bola - in Portuguese)

  Soma Zaidi
  next
 3. Bruno Fernandes ni mchezaji ambey amekuwa akihusishwa na Man United mara kwa mara

  Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na Sporting Lisbon kumsaini kiungo wa kati wa Portugal Bruno Fernandes , 25 katika mkataba unaoweza kuwa na thamani ya £60m lakini uhamisho huo hautafanyika kwa haraka.. (Sky Sports

  Soma Zaidi
  next