Myanmar

 1. Marekani imesema imeshitushwa na ghasia za Mynmar

  Watu 38 wameuawa nchini Myanmar siku ya Jumatano katika kile ambacho Umoja wa Mataifa umeelezea kuwa "siku ya umwagikaji mkubwa wa damu" tangu mapinduzi yalipofanyika mwezi mmoja uliopita.

  Soma Zaidi
  next
 2. Jenerali huo mwenye umri wa miaka 64 amehudumu kipindi chote cha kazi yake katika jeshi hilo lenye ushawishi

  Min Aung Hlaing alipanda kwa kasi kupitia safu ya Tatmadaw, jeshi lenye nguvu la Myanmar, lakini kama kamanda mkuu kwa muongo mmoja uliopita pia alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa kabla ya mapinduzi ya tarehe 1 mwezi Februari.

  Soma Zaidi
  next