Nchi za Kiarabu

  1. Video content

    Video caption: Mwamko wa mageuzi katika nchi za kiarabu yalikuwa ya mafanikio?

    Muongo mmoja uliopita, mchuuzi wa matunda alijiteketeza kwa moto, nakuchochea mwamko wa mageuzi katika nchi za kiarabu. Je yamekuwa ya mafanikio?.