Kombe la Dunia

 1. Arsenal, West Ham na Everton wote bado wana nia ya kusaini mkataba na difenda wa Barcelona Mfaransa Samuel Umtiti

  Chelsea wanamatumaini kwamba kiungo wa kati wa Bayer Leverkusen Kai Havertz mwenye umri wa miaka 21 atajiunga na Mjerumani mwenzake German Timo Werner a na kuwa mchezaji mkuu wa tatu kusaini mkataba na klabu hiyo msimu huu hatakama hawatafuzu kwa Championi Ligi mwaka ujao. (Mail on Sunday)

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Kwa nini timu ya Ghana haitamsahau Luis Suarez?

  Ni miaka 10 tangu Ghana ilivyopoteza ushindi katika mchuano wa robo fainali dhidi ya Uruguay.