Nishati Mbadala

 1. Mzozo wa mto Nile: Marekani kupunguza ufadhili kwa Ethiopia

  Bwawa la mto Nle

  Marekani imetangaza kuwa imepunguza ufadhili wake kwa Ethiopia unaokisiwa kugharimu dola milioni 100 kutokana na utata wa bwawa kubwa la uzalishaji umeme linalojengwa katika mto Nile.

  Maelezo zaidi hapa

 2. Ethiopia yaitaka Marekani kuelezea madai ya kuipunguzia ufadhili

  Ujenzi wa Bwawa hilo ulianza 2011
  Image caption: Ujenzi wa Bwawa hilo ulianza 2011

  Serikali ya Ethiopia inataka ufafanuzi kutoka kwa Marekani kuhusu madai kwamba imepunguza ufadhili wake kwa nchi hiyo mzozo wa ukiendelea kuhusu bwawa kubwa la uzalishaji umeme katika mto Nile.

  Wiki iliyopita jarida moja linaloangazia sera za kigeni liliripoti kuwa Waziri mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ameidhinisha kuzuiliwa kwa msaada wa hadi dola 130 milioni kwa Ethiopia katika juhudi za kuishinikiza ifikie mkataba na Misri kuhusu bwawa hilo

  Kwa karibu muongo mmoja, Ethiopia na Misri zimekuwa zikishauriana kuhusu bwawa hilo.

  Misri, ambayo inategemea maji ya mto Nile kwa 80%, ina hofu kuwa bwawa hilo litaathiri mfumo wa usambazaji maji na kuifanya Ethiopia kuwa na mamlaka juu ya usambaaji wa maji ya mto mkubwa Afrika.

  Nchi hizo pamoja na Sudan zinashauriana kuhusu kiwango cha maji kitakachoachiwa kupitia bwawa hilo

  Balozi wa Ethiopia nchini Marekani, Fitsum Arega, ameandika kati Twitter yake ujumbe uanaosema Marekani imeahidi kutoa maelezo kuhusu suala hilo (18:30 GMT). Lakini hakuna uthibitisho kuwa ufadhili umekatwa.

  Maelezo zaidi:

 3. Maryam Dodo Abdalla

  BBC SWAHILI

  South Africa currently has one nuclear plant

  Uganda imesaini makubaliano na Urusi kuisaidia kujenga uwezo wake wa kutumia teknolojia ya nyuklia kwa matumizi ya kutengeneza nishati, dawa na matumizi mengine ya amani. Ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia?

  Soma Zaidi
  next