Michezo

 1. Bernardo Silva

  Barcelona wanatumai kumshawishi kiungo wa kati Bernardo Silva, 25, aondoke Manchester City na wanaweza kupatia ofa mwenzake mchezaji wa kimataifa wa Ureno Nelson Semedo, 26, kama sehemu ya mkataba. (Telegraph - subscription required)

  Soma Zaidi
  next
 2. Kikosi cha Cameroon mwaka 1990 kilikuwa cha kwanza kufika hatua ya robo-fainali katika michuano ya kombe la dunia

  Kikosi cha Cameroon kilichoshiriki kombe la Dunia 1990 kuzawadiwa nyumba walizoahidiwa miaka 30 iliyopita. Hatua hii inafikiwa wakati wachezaji watatu , Louis Paul Mfede, Benjamin Massing na Stephen Tataw wakiwa wameaga dunia.

  Soma Zaidi
  next