Tundu Lissu

 1. Ezekiel Kamwaga

  Mchambuzi

  Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu

  Iwapo mfuatiliaji wa siasa za Tanzania katika kipindi cha miaka 10 hadi 20 iliyopita akiulizwa ataje wanasiasa watano jasiri na waliopitia magumu katika safari yao ya kisiasa hapa nchini; majina mawili hayatakosekana katika orodha yake.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: Lissu apinga matokeo ya uchaguzi

  Lissu anasema uchaguzi ulianza kuingia dosari mapema katika kuapisha mawakala

 3. Video content

  Video caption: Uchaguzi wa Tanzania una umuhimu gani kwa nchi jirani?

  Rais John Pombe Magufuli wa CCM anawania urais kwa muhula wa pili ambapo anapingana na wawaniaji wengine 15 akiwemo mpinzani wake mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu.

 4. Video content

  Video caption: Uchaguzi Tanzania 2020: Lissu azungumzia kesi zinazomkabili

  Suala hili limeibua hisia tofauti kuhusu hatima ya kiongozi huyo katika kinya'ng'anyiro cha urais ndani ya chama, muungano mwaka huu wa 2020 na siasa kwa ujumla