Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

 1. Kassim Majaliwa athibitishwa kuwa Waziri MKuu

  Bunge la Tanzania limemuidhinisha, Mbunge wa Ruagwa Kassim Majaliwa kwa wadhifa wa Uwaziri Mkuu.

  Majaliwa amepata kura za wabunge wote 350 waliopiga kura , sawa na 100%.

  Amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuamini kwa miaka mitano iliyopita na kumpa tena nafasi nyingine.

 2. Video content

  Video caption: Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: Tundu Lissu atoa sababu za kuondoka Tanzania

  Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameambia BBC kwamba alipokea vitisho vya kifo hatua iliomfanya kuondoka na kuelekea Ubelgiji.

 3. Ezekiel Kamwaga

  Mchambuzi

  Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu

  Iwapo mfuatiliaji wa siasa za Tanzania katika kipindi cha miaka 10 hadi 20 iliyopita akiulizwa ataje wanasiasa watano jasiri na waliopitia magumu katika safari yao ya kisiasa hapa nchini; majina mawili hayatakosekana katika orodha yake.

  Soma Zaidi
  next
 4. Video content

  Video caption: Uchaguzi Tanzania 2020: Lissu asimulia jinsi alivyokamata

  Kiongozi wa chama cha upinzani tundu lissu amezungumzia matukio ya kukamatwa kwake

 5. Video content

  Video caption: CUF 'Hatutashiriki tena Uchaguzi bila Tume huru'

  Profesa Ibrahimu Lipumba amesema hakubaliani na matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 28, kwa kuwa umegubikwa na mapungufu.