Uchukuzi

 1. Ezekiel Kamwaga

  Mchambuzi

  Mradi wa bandari ya Bagamoyo

  Miaka sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka.

  Soma Zaidi
  next
 2. Mswisi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele iwapo Wataliano watafuzu kuingia Championi Ligi

  Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa klabu wa AC Milan Paolo Maldini anasema Mswidi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele cha mkataba wake iwapo Wataliano watafuzu kuingia Championi. (Mail)

  Soma Zaidi
  next