Angela Merkel

 1. Uchaguzi Ujerumani

  Chama cha siasa za mrengo wa kati kushoto (SPD) nchini Ujerumani kinaelekea kushinda uchaguzi mkuu, wakati matokeo yaliyotarajiwa yakionekana kuwa mabaya kwa chama cha Kansela anayeondoka madarakani Angela Merkel.

  Soma Zaidi
  next
 2. Septemba 23, 2021: Muhula wa Merkel ulitawaliwa na mafanikio na mapungufu lakini atakumbukwa kwa mtindo bora wa utawala wake

  Bi Angela Merkel anajiuzulu kama kiongozi wa ujerumani baada baada ya miaka 16 , na kumaliza kazi yake kama mwanasiasa. Ujuzi alionao unanyeshwa katika picha katika pembe zote: Kuanzia ziara yake kwa mvuvi katika kampeni zake za mwanzo, hadi katika mazungumzo ya White House, na matukio mengine yaliyotokea katika nyakati tofauti.

  Soma Zaidi
  next