Rohingya

 1. Jenerali huo mwenye umri wa miaka 64 amehudumu kipindi chote cha kazi yake katika jeshi hilo lenye ushawishi

  Min Aung Hlaing alipanda kwa kasi kupitia safu ya Tatmadaw, jeshi lenye nguvu la Myanmar, lakini kama kamanda mkuu kwa muongo mmoja uliopita pia alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa kabla ya mapinduzi ya tarehe 1 mwezi Februari.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Wakimbizi wa Rohingya 'walazimika kunywa maji ya bahari kuokoa maisha' baada ya kufurushwa

  Taifa la Malaysia lililifurusha boti lililokuwa limebeba mamia ya wakimbizi wa Rohingya , likihofia maambukizi ya virusi vya corona .