Mabadiliko ya Tabia Nchi

 1. Video content

  Video caption: ‘Taka hizi zimetenganisha familia yangu’ - Jinsi ya kukabiliana na taka hatari Kampala

  Katika mji mkuu wa Uganda , Kampala taka zote za kila siku hazikusanywi.

 2. g

  Miaka 11,000 iliyopita kitu kisicho na kifani kwenye miaka 100,000 ya historia ya dunia kilitokea: hali ya hewa ya dunia ilikuwa imara. Kwa namna nyingine tulilazimsiha kuingia katika kipindi kujulikanacho kama Anthropocene, kipindi ambapo wanadamu uhusika kwenye mabadiliko ya hali ya hewa.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: Mtindo wa kufanya mazoezi kwa kusafisha mazingira wapata umaarufu Nigeria

  Mtindo wa kusafisha mazingira wakiwa wanafanya mazoezi umepata umaarufu mkubwa kwa vijana wa nchini Nigeria. Mtindo huu unaofahamika kama Plogging, ulianzia Sweeden mnamo mwaka 201

 4. Video content

  Video caption: Mabadiliko ya tabia nchi: Mbolea zilivyosababisha moto kuwaka chini ya ardhi

  Joto lililozidi kwenye Mbolea za asili za mimea na wanyama zilizooza chini ya ardhi ndio chanzo kilichosababisha moto kuwaka ardhini huko Rombo Kilimanjaro.