Joseph Kabila

 1. Ezekiel Kamwaga

  Mchambuzi

  muungano

  Wengi wa wachambuzi wa siasa za DRC wanaamini kilichomponza Patrice Lumumba ni kuonesha mapema nini anataka kuwafanyia watu wake na kipi atakifanya kwa wakoloni wa zamani. Je hali ikoje kwa Rais wa sasa wa DRC, Felix Tshisekedi.

  Soma Zaidi
  next