Uchumi

  1. Video content

    Video caption: Serikali iliingia madarakani katika kipindi kigumu sana kiuchumi-Dkt Mwinyi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Hussein mwinyi amesema uchumi wa Zanzibar uliathiriwa kwa kiasi kikubwa na Covid 19.

  2. Video content

    Video caption: 'Ugumu wa maisha ulinipelekea kuja na wazo hili'

    Watu wengi wanapokutana na ugumu katika maisha hukimbilia kufanya yasiyo mema, hii imekuwa tofauti kwa kijana wa zamani 'Ally Salum' aliyebuni guta kwa ajili ya kubeba maharusi