Uchaguzi wa Burundi 2020

 1. Na Dinah Gahamanyi

  BBC News Swahili

  rais Evariste wa Burundi

  Rais mpya wa Burundi Jenerali Evariste Ndayishimiye anachukua rasmi mamlaka ya urais nchini Burundi leo baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi urais mwezi huu. Lakini je ni changamoto zipi atakazokabiliana nazo kama kiongozi mpya?.

  Soma Zaidi
  next
 2. Na Dinah Gahamanyi

  BBC News Swahili

  Bwana Nkurunziza pamoja na familia yake wakijiunga na wakazi wa eneo la Rutanga katika wilaya ya Gashikanwa kuombea msimu wa kilimo

  Hayati Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi aliyefariki dunia ghafla tarehe 8 Juni, atakumbukwa miongoni mwa mambo mengine kwa ''uongozi uliotawaliwa na itikadi za kikristo''. Lakini je itikadi hizi zitaendelezwa na mrithi wake Meja Pierre Ndayishimiye?

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: Uchaguzi wa Burundi:Kwa nini Rwanda na Burundi zimekuwa maadui wakubwa?

  Wakati, Burundi ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wiki ijayo, uhusiano kati ya nchi hiyo na jirani yake wa karibu Rwanda ukiwa umevunjika