Korea Kusini

 1. Video content

  Video caption: Jinsi uteute wa konokono unavyoweza kulainisha ngozi na kuzuia usizeeke

  Jinsi wataalamu wa urembo wanavyolikimbilia soko la ute wa konokono ili kutibu na kulainisha ngozi.

 2. Mr Kim claimed the women did not provide proof that they were having their periods

  Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa shirika la ndege ambaye alikataa kuwaruhusu wafanyakazi wa kike kuchukua likizo ya hedhi kinyume cha sheria ya ajira ametozwa faini ya karibu $ 1,800 (Pauni 1,300) mahakama moja huko Korea Kusini imeamuru.

  Soma Zaidi
  next
 3. DMZ file image

  Vikosi vya Korea Kusini vimeshindwa kumgundua mwanamume wa Korea Kaskazini aliyevuka mpaka na kuingia upende wa Korea Kusini unaolindwa vikali mwezi huu hata baada ya kuonekana kwenye kamera za televisheni mara nane na kuzua taharuki.

  Soma Zaidi
  next
 4. Video content

  Video caption: Baby Shark ndio wimbo uliotizamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube

  Bila shaka umeskia wimbo wa Baby Shar. Ni wimbo unaotumbuiza watoto kote duniani hivyo kujipatia umaarufu mkubwa.