Venezuela

  1. Kifo cha Rais Magufuli: Rais wa Venezuela amuomboleza Magufuli

    Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ametuma salamu za rambi rambi kwa Watu wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

    Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya nje imesema "tunasimama" na "ndugu zetu wa Tanzania".

    View more on twitter