Wanawake 100

 1. Video content

  Video caption: Fahamu kipya katika orodha ya 2021 ya wanawake 100 wa BBC 2021

  Wanawake 100 wa BBC 2021 ni makala zinazozinduliwa tarehe 7 Disemba kwa orodha ya wanawake wenye ushawishi na wenye wa kuigwa kutoka maeneo mbali mbali ya dunia.

 2. Video content

  Video caption: Zahara:"Usikiae kimya , kitakuua"

  Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo Afrika Kusini Zahara ametuma ujumbe kwa vijana kuwa "Usikiae kimya , kitakuua."

 3. Video content

  Video caption: Uzinduzi wa BBC 100 Women

  Ungana nasi mubashara katika uzinduzi wa BBC 100 Women