Argentina

 1. Fuvu la dinosaria wa 'kuogofya' lapatikana Argentina

  Nyangumi

  Wanasayansi kusini mwa Argentina wamepata fuvu la kichwa cha dinosaria mkubwa aliepewa jina la "mnyama wa kuogofya" kwa lugha ya Mapuche nchini humo.

  Mnyama huyo anayefahamika kisayansi kwa jina la Llukalkan aliocranianus alikuwa na urefu wa mita tano sawa na (futi 16) alipakuwa akizunguka eneo la Amerika Kusini miaka milioni 85.

  Watafiti walipata mabaki ya nyangumi mwingine katiika eneo hilo, jambo ambalo wanasema sio la kawaida. Uvumbuzi huo kutoka mji wa Patagonia ulichapishwa siku ya Jumanne.

  Sawa na mnyama Tyrannosaurus rex, nyangumi aina ya Llukalkan dinosaur alikuwa na miguu miwili na mikono mifupi sana, lakini umbo lake lilikuwa la wastani akilinganishwa na T. rex mkubwa.

  pia alikuwa na pembe fupi na vidole vidogo. Alikadiriwa kuwa na uzani wa tani tano.

 2. Marufuku ina maanisha Messi atakosa mechi zijazo za kirafiki za Argentina dhidi ya Chile, Mexico na Ujerumani Septemba na Octoba

  Nahodha wa Argentina Lionel Messi amezuiwa amewekewa marufuku ya kucheza mechi za kimataifa kwa muda wa miezi mitatu baada ya kudai kuwa shirikisho la soka la Amerika Kusini -Copa America ni "fisadi".

  Soma Zaidi
  next