Saratani

 1. Video content

  Video caption: Wanawake wawili waanzisha biashara ya sidiria baada ya kuugua saratani

  Kate Courtman na Sarah Mountford wameanzisha biashara ya kuuza sidiria kwa wanawake walio na saratani ya matiti

 2. INSTAGRAM / EMMYRHIANNON

  Emmy alikutwa na saratani ya matiti akiwa mjamzito na amekuwa akishirikisha wengine changamoto anazopitia katika safari yake akiwa na matumaini ya kusaidia kina mama wengine vijana wanaopitia ugonjwa kama huo hadi kipindi cha kujifungua.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: Akimbia mbio za mita mia tano licha ya kuwa na saratani ya mapafu

  Mwanamke mmoja Uingereza anaeugua saratani , akimbia mbio za mita tano kuchangisha pesa zitakazosaidia katika utafiti wa saratani

 4. Video content

  Video caption: Wagonjwa wa saratani Syria wasubiri mpaka ufunguliwe kupata matibabu Uturuki

  Virusi vya corona: Wagonjwa wa saratani Syria wasubiri mpaka ufunguliwe kupata matibabu Uturuki

 5. Video content

  Video caption: Harusi ya mgonjwa wa saratani aliyekuwa karibu kuaga dunia

  Baada ya miezi sita ya kupambana na ugonjwa wa saratani, Tash Longhurst aliambiwa kuwa tiba anayopata haiwezi kumsaidia hivyo ana wiki kadhaa tu za kuishi.