Maradhi ya Moyo

 1. iStock

  Ilikuwa mwaka jana wakati kijana Zakaria (sio jina ake halisi) mwenye umri wa miaka 29 alikuwa amelala kitandani mwake usiku majira ya saa kumi usiku. Mara alianza kuhisi maumivu ya kifua. Mwili wake mzima ulianza kutokwa jasho. Hapakuwa na mtu mwingine nyumbani wa kumpeleka hospitalini wakati ule.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Je, kuna atahari zozote za kuwa shabiki nguli wa soka?

  Utafiti mpya umesema kuwa wafuasi sugu wa timu za soka huwa wanapitia kiasi kikubwa cha msongo wa mawazo