Uvutaji Sigara

  1. Video content

    Video caption: Wavutaji sigara Afrika Kusini wahangaika kufwatia marufuku.

    Biashara haramu ya sigara nchini Afrika Kusini inaendelea kufanyika licha ya kupigwa marufuku kama sehemu ya hatua zilizowekwa kupunguza kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona.