Uchafuzi

  1. Video content

    Video caption: Kwanini madereva wamepuuza hatua ya kuzuia uchafuzi wa mazingira mjini Milan?

    Polisi wa Italia wametoa faini 162 katika kipindi kisichozidi masaa matatu kwa watu waliopuuza marufuku ya kuendesha gari mjini Milan.