Masoko ya Hisa

 1. Video content

  Video caption: Superdollar, dola bandia zilizosambazwa na magenge, ni jinsi baadhi yao walivyokamatwa

  Dola bandia zenye ‘’thamani ya mamilioni’’ –lakini zinazoonekana kuwa halali- za noti za $100 zinaaminiwa kuwa zilikuwa katika mzunguko wa matumizi . Inaaminiwa chache bado zipo

 2. Video content

  Video caption: Uzinduzi wa filamu ya James Bond umesongezwa hadi Novemba

  Uzinduzi wa filamu mpya ya James Bond umesongezwa mbele kwa miezi saba huku virusi vya korona vikizidi kuenea.

 3. Video content

  Video caption: Barcelona yashinda Manchester United kwa mapato

  Klabu ya Barcelona ndiyo iliyopata mapato mengi zaidi kuliko klabu yoyote ile barani ulaya kwa mara ya kwanza msimu huu