Ujasusi

 1. Urembo wao uliwavutia wengi,kumbe walidaiwa kuwa majasusi wa Urusi

  Urusi

  Tabasamu zao zilikuwa za kuvutia ,urembo wao ulikuwa kama chambo na misheni zao zilikuwa za siri kubwa. Soma zaidi

 2. Mfichuzi huyo anasema kwamba Chad Wolf kushoto alimwambia kuwacha kutoa uchambuzi kuhusu uingiliaji wa Urusi

  Afisa wa ngazi ya juu wa ujasusi katika wizara ya usalama wa nchini Marekani, amesema kuwa alishinikizwa na uongozi wa shirika la ujasusi kuficha tisho la Urusi la kuingilia uchaguzi kwasababu lingemfanya ''rais aonekane vibaya'' .

  Soma Zaidi
  next
 3. Mazyar Ebrahimi anasema aliteswa kwa siku 40 mfulurizo usiku na mchana

  Aliyekuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio wa Iran wakati mmoja anasema ana bahati kuwa hai baada ya kuteswa na mamlaka za Iran na kulazimishwa kukiri kuwa jasusi wa Israel na kuhusika na mauaji ya wataalamu wa nyuklia - uhalifu unaoadhibiwa kwa kunyongwa

  Soma Zaidi
  next