Ukahaba

 1. Video content

  Video caption: Mwanamke aliyekuwa kahaba sasa ni balozi wa maadili mema kwa wale wanaouza miili yao.

  Aphonse Sambaye ambaye kwa sasa ameachana na biashara hiyo, amekua akitoa elimu kwa wenzake ambao bado wanajishughulika na biashara ya kuuza miili yao.

 2. Video content

  Video caption: Virusi vya corona: BBC Africa Eye yabaini jinsi corona inavyoathiri maisha Sierra Leone

  Sierra Leone iliathiriwa vibaya na Ebola ilipoyakumba mataifa ya Magharibi mwa Afrika , na sasa Covid-19. Video hii ilizoagizwa na BBC Africa Eye, inaangazia athari za corona.

 3. Na Dinah Gahamanyi

  BBC News Swahili

  kahaba

  Maafisa katika mji mkuu wa Ethiopia Adis Ababa wanaandaa mkakati kupiga marufuku ukahaba na kuombaomba wa mitaani ili kusafisha sura ya nchi

  Soma Zaidi
  next