Sayansi ya Roboti

 1. Korea Kusini yazindua roketi yake ya kwanza

  The rocket, known as Nuri, blasted off on Thursday

  Korea Kusini imezindua roketi yake ya kwanza kutengezwa nyumbani, kupiga hatua katika harakati za nchi kwenye sayansi za anga za mbali.

  Roketi hiyo ya Korea, inalojulikana kama Nuri, liliondoka Goheung, karibu 500km (maili 310) kusini mwa Seoul.

  Rais Moon Jae-in amesema gari hilo limekamilisha mpango mzima wa safari safari lakini ilifeli kuweka kielelezo cha satelliteyake kwenye mzunguko wa dunia.

  Uzinduzi kama huo ni muhimu katika mpago wa anaganilakini huenda ikawa na vifaa vya kijeshi.

  Korea Kusini inakimbizana na Korea Kaskazini katika uundaji silaha, nchi zote mbili zikijaribu silaha zao mpya hivi karibuni. Kaskazi ilifikisha satellite yake katika mzunguko 2012.

  Nuri iligharimu Korea Kusini karibu dola bilioni 1.62 kutengeza. Roketi hiyo yenye uzani wa tani 200 na urefu wa mita 47.2, ina injini sita za mafuta.

  Katika maoni yake, Rais Moon alikiri uzinduzi huo haukufikia malengo yao, lakini akaongeza: "Sio muda mrefu kabla ya kuweza kuizindua kikamilifu katika njia inayolengwa," shirika la habari la Reuters liliripoti.

  Korea Kusini inapanga kufanya majaribio mengine manne ya chombo cha Nuri hadi 2027 ili kujiimarisha, kulingana na Taasisi ya Utafiti wa Anga ya Korea (KARI) ambayo inasimamia uzinduzi huo.

 2. Video content

  Video caption: LEO: Roboti inayoweza kutembea, kuruka na kuteleza katika ubao

  Kutana na LEO, roboti yenye uwezo wa kutembea , kuruka na kuteleza katika ubao.

 3. Muonekano wa mwezi wakati wa usikiu

  Kwa miaka mingi watu wameutazama mwezi kwa dalili za mabadiliko ya hali ya hewa na kuamini kuwa mwezi wenye rangi unaashiria kuwa mvua itanyesha, mwezi mwekundu ukimaanisha mawimbi ya bahari na mwezi mweupe ukimaanisha kuwa hakutakuwa na mvua wala barafu.

  Soma Zaidi
  next
 4. Video content

  Video caption: Roboti inayowashughulikia wagonjwa wa corona Nigeria

  Wanafunzi kutoka shule ya Kimataifa ya Glisten huko Abuja Nigeria watengeza roboti atakaeshughulikia wagonjwa wa corona.

 5. Video content

  Video caption: Roboti inayotumika kuwatibu wagonjwa wa kiakili wa dementia

  Wakati teknolojia inazidi kuimarika,robot yenye mfano wa mbwa iliyo na uwezo wa kuhisi na hutumia sauti ili atengamane vyema na binadamu.

 6. Video content

  Video caption: Roboti ya paka kuhudumu kama muhudumu huko Las Vegas

  Roboti ya mfumo wa paka iliyoundwa kusafirisha sahani za chakula kwa wateja imezinduliwa na kampuni ya teknolojia ya CES huko Las Vegas.