Tuzo ya Nobel

 1. th

  Kamati ya Nobel ya Norway imeamua kutoa Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka wa 2021 kwa Maria Ressa na Dmitry Muratov kwa juhudi zao za kulinda uhuru wa kujieleza, ambao ni nguzo muhimu kwa demokrasia na amani ya kudumu.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Siri ya Wole Soyinka kupona saratani

  Miaka mitano iliyopita, mwandishi maarufu duniani,Profesa Wole Soyinka alikutwa na saratani lakini sasa akiwa na miaka 85 ana afya njema.

 3. Video content

  Video caption: Njia mbili za kuishinikiza nafasi ya mwanamke katika masomo ya sayansi

  Kujiamini na kuomba usaidizi ni njia mbili ya kuziba pengo la kijinsia na kushinikiza nafasi ya wanawake katika masomo ya sayansi teknolojia uhandisi na hesabati - STEM.