Colombia

 1. Hawa hapa baadhi ya wahalifu sugu waliokuwa na utajiri ambao walipata kupitia uhalifu na ulaghai .

  Watu hawa ,wengine ambao bado wapo hai ilhali wengine wamefariki wakati mmoja walionekana kuwa kileleni mwa taaluma zao za uhalifu .Ujanja wao na weledi wao kutafuta pesa na kukwepa mkono wa sheria ulionekana kama ushujaa na hadi leo katika baadhi ya nchi wangali wanachukuliwa kama 'mashujaa' .

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Mshambuliaji James Rodriguez ajiunga na Everton kutoka Real Madrid

  Klabu ya Everton imekamilisha uhamisho wa James Rodriguez kutoka Real Madrid kwa ada ya £20m.

 3. Video content

  Video caption: Wahamiaji wa Afrika wanaosafiri katika msitu hatari kujaribu kuingia Marekani.

  Wahamiaji wa Afrika wanaosafiri katika msitu hatari wa Darien Gap kujaribu kuingia Marekani.

 4. Video content

  Video caption: Watch as Colombian U21 player Anderson Diaz scores a Maradona-like Wondergoal