Marekani

 1. Video content

  Video caption: Ni kwa nini programu ya video ya Ti Tok inapata upinzani Marekani?

  Rais Trump amesaini agizo la ikushughulikia kile alichokiita tishio linalosababishwa na programu maarufu, inayomilikiwa na China, ya TikTok.

 2. Mitandao ya kijamii Facebook na Twitter imemuadhibu Rais Donald Trump na kampeni yake ya ujumbe kuhusu corona na watoto

  Mitandao ya kijamii Facebook na Twitter imemuadhibu Rais Donald Trump na kampeni yake kwa kutuma ujumbe ambapo rais huyo alidai watoto ''wanakaribia kuwa na kinga kamili'' ya virusi vya corona.

  Soma Zaidi
  next
 3. Astronauts

  Chombo hicho kinachoendeshwa na Doug Hurley na Bob Behnken kinachofahamika kama SpaceX capsule watatua kwa mara ya kwanza katika maji ya Marekani baada ya miaka 45

  Soma Zaidi
  next