Sayansi ya Anga za Juu

 1. Watalii wanaohudhuria hafla ya uzinduzi wanaweza kutazama urushwaji wa roketi ya Soyuz ya Urusi inaposogea kupitia gari maalum la reli kutoka hangar hadi kwa pedi ya kurushia.

  Kituo cha kwanza duniani chenye usiri mkubwa cha anga za mbali, Baikonur Cosmodrome, kiko kati kati mwa jangwa kubwa la Asia ya Kati kilomita 2600 kusini mashariki mwa Moscow na kilomita 1,300 kutoka miji mikuu ya Kazakhstan ya Nur-Sultan na Almaty.

  Soma Zaidi
  next
 2. g

  Miaka 11,000 iliyopita kitu kisicho na kifani kwenye miaka 100,000 ya historia ya dunia kilitokea: hali ya hewa ya dunia ilikuwa imara. Kwa namna nyingine tulilazimsiha kuingia katika kipindi kujulikanacho kama Anthropocene, kipindi ambapo wanadamu uhusika kwenye mabadiliko ya hali ya hewa.

  Soma Zaidi
  next
 3. Muonekano wa mwezi wakati wa usikiu

  Kwa miaka mingi watu wameutazama mwezi kwa dalili za mabadiliko ya hali ya hewa na kuamini kuwa mwezi wenye rangi unaashiria kuwa mvua itanyesha, mwezi mwekundu ukimaanisha mawimbi ya bahari na mwezi mweupe ukimaanisha kuwa hakutakuwa na mvua wala barafu.

  Soma Zaidi
  next