Sanaa

 1. Video content

  Video caption: Densi inayopinga dhulma za kijinsia dhidi ya wanawake yasambaa mitandaoni Chile

  Kufikia sasa mwaka huu, takriban wanawake 41, wameuawa nchini Chile, kulingana na takwimu za serikali.

 2. Video content

  Video caption: Mwanamuziki nchini Marekani Jessye Norman amefariki akiwa na miaka 74

  Mwanamuziki wa nyimbo aina ya Opera nchini Marekani Jessye Norman amefariki akiwa na miaka 74 aliyesifika sana kwa kuimba kwa sauti ya soprano.

 3. Video content

  Video caption: Wimbo wa injili wa Jerusalem ndio bora Uingereza

  Wimbo wa Injili wa Jerusalem umechaguliwa kuwa wimbo bora nchini Uingereza miongoni mwa nyimbo 100.

 4. Video content

  Video caption: 'Ninapenda kupiga danadana, kwasababu ni kipaji changu'

  Chinonso Eche ni nyota mpiga danadana mwenye umri wa miaka 11, anatamani kuichezea Super Eagles siku moja