Afya ya Wanawake

 1. Loretta Harmes

  Loretta Harmes alikuwa hajawahi kula kwa miaka sita, lakini hajapoteza ari yake ya kupika. Hawezi hata kuonja chakula chake alichopika mwenyewe, lakini bado anapata wafuasi kwenye mtandao wa Instagram, ambako huwasilisha utaalam wake wa mapishi ya mtu anayepika asiye na uwezo wa kula kwa mdomo wake.

  Soma Zaidi
  next
 2. Zishilo Dludlu alifungwa kizazi kwa nguvu, baada ya kujifungua, lakini anasema hakutoa idhidni ya kufanyiwa hivyo.

  Kufungwa kizazi kwa lazima limekuwa ni jambo linalotumiaka kama njia ya kupanga uzazi kwa lengo la kupata idadi ya watu wanaotakikana na imekuwa ikihusishwa na Wanazi wa Ujerumani. Hatahivyo, utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa ufungaji wa lazima wa vizazi vya wanawake haujabakia ndani ya vitabu vya kihistoria pekee na unatumiwa kwa kiwango kikubwa katika karne ya 21.

  Soma Zaidi
  next
 3. Anne Ngugi

  BBC Swahili

  Cecilia

  Kubakwa ni tukio ambalo Mchungaji Cecilia Muthoni Ssewagaba, hatawahi kulisahau maishani mwake. Lakini tukio hili ambalo alilipitia utotoni yameachia kofu moyoni mwake, lakini bila shaka halikumkatisha tamaa ya kusonga mbele na maisha na kuwasaidia wengine waliopitia masaibu kama yake.

  Soma Zaidi
  next
 4. Video content

  Video caption: Mauaji ya Kimbari Rwanda: Jinsi mafunzo ya sanaa yanavyowaponya wajane wa mauaji hayo

  Wajane wa mauaji ya kimbari ya Rwanda wamekuwa wakipokea mafunzo ya sanaa ya michezo kama njia ya kupona kutokana na majeraha waliyo nayo kwa miaka mingi kufuatia kupoteza wapendwa

 5. P. Thiruchelvi

  ukosefu wa upatikanaji wa huduma za afya ni changamoto kubwa katika sehemu nyingi za duniani. Ulimwengu unapojiandaa kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili Duniani Jumapili Oktoba 10, BBC imezungumza na mama wa mwathiriwa, mtoa huduma na mtaalamu wa masuala ya akili kutoka nchi tofauti kufahamu kwanini waathiriwa wanatatizika kupata msaada.

  Soma Zaidi
  next