Yemen

 1. Video content

  Video caption: Jiwe la ambergris lililopatikana ndani ya nyangumi lawaondolea umasikini wavuvi Yemen

  Kundi moja la wavuvi nchini Yemen lilipata mabaki ya nyangumi aliyekuwa akiolea katika bahari ya Ghuba la Aden. Madini adimu waliyogundua ndani ya tumbo lake yamewaondolea umaskin

 2. Video content

  Video caption: Yemen:Mvulana asiyeona anayefundisha watoto wenzake katika shule iliyoko eneo la mapigano

  Mvulana asiyeona mwenye umri wa miaka 9 ,kwa jina Ahmed amekua akifanya kazi ya kuwafundisha wanafunzi wenzake katika eneo lililoharibiwa na mapigano nchini Yemen.

 3. Video content

  Video caption: Mtoto anayewafundisha wanafunzi wenzake somo la Sayansi na Quran nchini Yemen

  Kijana wa miaka 9 huko Yemen asiye na uwezo wa kuona huwa mwalimu endapo mwalimu wao wa darasa hatafika shuleni.