Watoto

 1. Video content

  Video caption: Jinsi watoto waliokua ndani ya nyumba iliyokua ikiungua Ufaransa walivyookolewa

  Watoto wawili wenye umri wa miaka mitatu na 10 waliepka ajali katika nyumba ya gorofa iliyokua ikiungua moto katika mji wa Ufaransa wa Grenoble.

 2. Video content

  Video caption: Upasuaji huo hatari ulichukua takriban saa 18

  Mapacha wa miaka miwili wailioshikamana kichwani watenganishwa katika 'upasuaji wa kwanza wa kipekee'

 3. Video content

  Video caption: ‘Ninataka wasichana wawe madaktari au waalimu ’: Ndoto ya mkulima wa Muafghanstan

  Zaidi ya watoto milioni 3.7 wamenyimwa haki ya elimu nchini Afghanistan, wengi wao wakiwa ni wasichana. Lakini mwanaume mmoja ameamua changamoto hii katika kijiji chake.

 4. Video content

  Video caption: Anthony Mmesoma Madu, mchezadensi wa miaka 11 aliyeikonga mioya ya watu mtandaoni

  Video ya Anthony Mmesoma Madu mwenye umri wa miaka 11 iliyosambaa mitandaoni iliyomuonyesha akicheza densi kwenye mvua, imesambazwa mitandaoni na nyota wa Hollyhood Viola Davis.