Amazon (kampuni)

 1. Video content

  Video caption: Pogba asaini mkataba na Amazon wa kubuni filamu ya maisha yake

  Mshambuliaji nyota wa Manchester United Paul Pogba amesaini mkataba na Amazon Prime ili kubuni filamu ya safari ndefu ya maisha yake .

 2. Video content

  Video caption: Amazon yafungua duka la mtandaoni

  Kampuni kubwa ya Mauzo,Amazon imezindua duka la dawa kupitia mtandao ambalo litawaruhusu wateja wake kununua dawa.

 3. Video content

  Video caption: Kampuni ya Amazon imeweka kamera zinazoweza kupima virusi vya corona

  Kampuni kubwa ya teknolojia ya Amazon imeweka kamera katika ghala zake nchini Uingereza na kote duniani ili kuwapima wafanyikazi wake dalili za virusi vya Corona