Tenisi

 1. Video content

  Video caption: Mchezaji tenisi atoa heshma kwa waathiriwa wa ubaguzi wa rangi.

  Mchezaji tenisi Naomi Osaka awapa heshma waathiriwa wa ubaguzi wa rangi kwa kuvalia barakoa zilizo na majina yao.

 2. Video content

  Video caption: Djokovic apigwa marufuku kuendelea kushiriki mchuano wa US Open

  Nyota namba moja duniani wa Tenis, Novak Djokovic amebanduliwa kwenye michuano ya US Open raundi ya nne.

 3. Video content

  Video caption: Corona: Novak Djokovic niwakulaumiwa kwa kuandaa mashindano ?

  Mcheza tenisi namba moja nchini Engalnd Dan Evans anasema Novak Djokovic anapaswa kulaumiwa baada ya wenzake kupata maambuziki ya Covid19.

 4. Video content

  Video caption: Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31

  Kwenye Tenisi Serena williams asema ajiandaa kucheza bila mashabiki na kutajia kuweka ushindi

 5. Video content

  Video caption: Bingwa wa Tenisi Federer kufanyiwa upasuaji kwenye goti lake

  Roger Federer atakosa msimu wote wa 2020 baada ya kufanyiwa operesheni zaidi juu ya goti lake la kulia.