Bosnia na Herzegovina

  1. Video content

    Video caption: Rekodi mpya ya kuvunja matofali kwa kichwa yawekwa Bosnia

    Bingwa wa taekwondo nchini Bosnia Kerim Ahmetspahic ameweka rekodi mpya ya dunia ya kuvunja matofali ya saruji kwa kutumia kichwa chake.