London

 1. Video content

  Video caption: Taylor Swift achanga kumsaidia nwanafunzi wa hisabati kutoka London

  Mwimbaji Taylor Swift ametoa $ 23,000 kwa mwanafunzi kutoka London ambaye anajitahidi kupata pesa kuchukua kozi ya hisabati.

 2. Video content

  Video caption: Timu ya Arsenal yaendelea kushindwa kwenye Ligi ya England

  Arsenal walishindwa kwa mabao 2 kwa 1 na Tottenham Hotspurs na wako nambari ya 9 kwenye jadwali la ligi ya Premier.

 3. Video content

  Video caption: Maandamano London: Tulimsaidia mtu mmoja kutouwawa

  Patrick Hutchinson amepongezwa sana baada ya picha yake akimsaidia mtu aliyejaruhiwa kusambaa, wakati wa makabiliano kati ya wafuasi wa Black Lives Matter dhidi ya wale wanaounga

 4. Video content

  Video caption: Nywele ndefu zampatia mtoto mvulana umaarufu mitandaoni

  Mtoto wa miaka saba Farouk James kutoka London amekuwa maarufu katika mtandao wa Instagram kutokana na nywele zake ndefu.