Uchekeshaji

 1. Video content

  Video caption: Mai Zumo 'nilianza kuigiza nikiwa na miaka mitatu'

  ‘Nimeanza kuchekesha nikiwa na umri wa miaka Mitatu’ ni mtoto @mai__zumo ambaye amekuwa gumzo kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza akiwa na umri huu mdogo.

 2. Video content

  Video caption: Muigizaji wa vichekesho Tanzania ajivunia uhusika wake wa kike

  'Napenda kuigiza uhusika wa kike ingali mimi ni wa kiume' anasema Abdallah Sultan maarufu kama Dullvani ambaye ni muigizaji wa vichekesho vya runinga nchini Tanzania.

 3. Video content

  Video caption: Mashindano ya watu wanaofanana na charlie chaplin

  Ufaransa kuandaa mashindano ya watu wanaofanana na mchekeshaji mahiri charlie chaplin , lakini cha ajabu chaplin aliposhiriki mashindano hayo aliibuka kuwa watatu.

 4. Video content

  Video caption: Kichekesho cha mboga kilihowafurahisha wengi nchini Uingereza

  Kipindi cha ucheshi cha gag ndicho kipindi kilichowafurahisha wengi katika tamasha ya kubwa ya Edinburgh Fringe huku Kichekesho cha mboga kiliebuka kuwa kichekesho bora zaidi.