ANC

  1. Nelson Mandela alikuwa rais wa kwanza aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini Afrika Kusini 1994

    Chama tawala cha Afrika Kusini -South African National Congress (ANC) kimemuita rais wa Marekani Donald Trump kuwa mtu "anayesababisha uhasama, mwenye chuki dhidi ya wanawake na asiye na heshima " kilipokuwa kikijibu ripoti kwamba alimpuuzilia mbali Nelson Mandela , rais wa kwanza mweusi wa taifa hilo.

    Soma Zaidi
    next